Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MHANDISI KUNDO AKUTANA NA WADAU SEKTA YA MAJI NCHINI

  Naibu Waziri wa Maji Mhe. Kundo A. Mathew (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa Sekta ya Maji wanaoshughulika na Usambazaji wa madawa ya kutibu na kusafisha Maji  Ofisi za Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) uliofanyika Jijini Dar es salaam. 

Kikao hicho kimehudhuliwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire pamoja na Menejimenti ya DAWASA.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com