NI MAHABA MAKUBWA!, MAELFU YA WANANCHI WAJITOKEZA KUMSIKILIZA RAIS SAMIA UWANJA WA MAJIMAJI SONGEA


Maelfu ya wananchi kutoka mkoa wa Ruvuma na maeneo yake wametokelezea kwa wingi, wakiwa na hamasa na furaha tele, kumshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano mkubwa uliofanyika Uwanja wa Majimaji mjini Songea tarehe 28 Septemba 2024.

Mkutano huu unahitimisha ziara yake ya siku sita mkoani hapa ya kukagua maendeleo na jinsi Ilani ya CCM inavyotekelezwa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post