Maelfu ya wananchi kutoka mkoa wa Ruvuma na maeneo yake wametokelezea kwa wingi, wakiwa na hamasa na furaha tele, kumshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano mkubwa uliofanyika Uwanja wa Majimaji mjini Songea tarehe 28 Septemba 2024.
Mkutano huu unahitimisha ziara yake ya siku sita mkoani hapa ya kukagua maendeleo na jinsi Ilani ya CCM inavyotekelezwa.
Social Plugin