Picha : RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA MAELFU YA WANANCHI KATA YA LITOLA NAMTUMBO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maelfu ya Wananchi wa Kata ya Litola Wilaya ya Namtumbo waliofurika Barabarani kumlaki wakati wa Ziara yake Mkoani Ruvuma leo leo September 26, 2024.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post