RAIS SAMIA AWEKA HISTORIA NYASA, MIAKA 14 HAKUNA RAIS ALIYEKANYAGA
Wednesday, September 25, 2024
Rais Samia Suluhu Hassan amefika Wilaya ya Nyasa kwa takribani zaidi ya miaka 14 hakuna Rais aliyewahi kukanyaga huku, Rais Samia amefika pasipofika kwa kuwajengea barabara na huduma za maendeleo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin