Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WATANZANIA TUENDELEE KUDUMISHA AMANI - DKT. BITEKO






Na mwandishi wetu,DAR ES SALAAM

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuendelea kudumisha amani na umoja ili kujenga jamii yenye ushirikiano na upendo katika Taifa.

Dkt. Biteko ameyasema hayo leo tarehe 22 Septemba, 2024 wakati akizungumza na waumini katika ibada ya Jumapili iliyofanyika katika Kanisa la AICT Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com