Picha : MUONEKANO WA DARAJA LA JP. MAGUFULI LA KIGONGO - BUSISI
الأحد, أكتوبر 13, 2024
Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa km 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 Mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024.
Daraja hili litafunguliwa kwa matumizi Februari 2025.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin