Jamaa ambaye hakujulikana jina wala makazi yake aliyevalia nguo nyekundu na nyeusi huku usoni akiwa amejipaka vitu vyeupe amezua gumzo Shinyanga Mjini baada ya kufika katika eneo la mataa ya barabara ya Soko Kuu kisha kumwaga mwaga vitu ,kuvunja nazi na kuoga kisha kuondoka zake hali iliyowaacha midomo wazi wananchi waliokuwa eneo hilo wasipate cha kufanya!!
TAZAMA VIDEO HAPA
Social Plugin