Kufuatia changamoto ya upatikanaji maji kwenye Mji wa Ngudu, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga (KASHWASA) na MWAUWASA leo tarehe 02 Oktoba 2024 wamekutana kwa ajili ya kuweka mikakati ya jinsi ya kutatua changamoto hiyo.
Kikao hicho kimefanyika Ofisi za MWAUWASA kanda ya Ngudu kimeongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA Eng. Patrick Nzamba na Eng Ramadan Mramba kutoka MWAUWASA.
Social Plugin