Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TCRA KANDA YA ZIWA YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA VIJANA KITAIFA JIJINI MWANZA

 Meneja wa Kanda ya Ziwa TCRA  Mhandisi Imelda Salum, pamoja na maafisa wengine wakishiriki Maonesho ya Wiki ya Vijana kitaifa jijini Mwanza. Maonesho hayo yalioanza rasmi tarehe 08 Oktoba na kuendelea hadi tarehe 11 Oktoba 2024, yanaendeshwa na Kauli Mbiu isemayo 'Vijana na Matumizi ya Fursa za kidijitali kwa maendeleo endelevu'. 

TCRA tunawakaribisha wadau wa sekta ya mawasiliano, kuwasilisha mrejesho kupitia mfumo wa Tanzanite, au kwa kupiga simu bila malipo 0800008272, baruapepe dawatilahuduma@tcra.go.tz au kutembelea ofisi za TCRA za Kanda, Zanzibar na Makao Makuu ili kuhudumiwa.

#tcratz #customerserviceweek #wikiyahudumakwawateja #aboveandbeyond #zaidiyamatarajio

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com