MNADA WA KOROSHO LINDI WANANCHI WARUDISHA SHUKRANI KWA RAIS SAMIA
Sunday, October 13, 2024
Wananchi wa Lindi wanamshukuru na Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa bei nzuri ya korosho haya yote yametokana na uzalishaji bora ambao pia umechagizwa na huduma bora za Ugani na Viuatilifu kwa wakulima vilivyotolewa kwa ruzuku kutoka Serikalini.
"Asante Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuinua zao la Korosho" - Wakulima wanasema Asante.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin