Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tanzia : MCHEKESHAJI MAARUFU MZEE PEMBE AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji mkongwe nchini, Yusuph Kaimu maarufu Mzee Pembe amefariki dunia leo katika hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com