Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu mhe. Patrobas Katambi akikagua maandalizi ya siku ya vijana kitaifa yatakayofanyika jijini Mwanza katika viwanja vya Furahisha tarehe 8-14/10/2024 ,akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi,Vijana,Ajira na Watu Wenye Ulemavu mhe. Zuhura Yunus pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza mhe.Said Mtanda.
Social Plugin