Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWEKA MILIONI 585.2 KWENYE ELIMU MEATU

 

Kishindo cha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye elimu kimeendelea kuwagusa wananchi baada ya kuweka kiasi cha Shilingi 585,280,028/= kwa ajili ya ujenzi wa shule ya kisasa ya Sekondari wilayani Meatu mkoani Simiyu.

Shule hiyo ya Kata ya Mwanuzi  ina madarasa nane, jengo la Utawala, Maabara tatu, vyoo 10, chumba cha Kompyuta, Maktaba na sehemu maalum ya kuchomea takataka.

Uzinduzi wa mradi huo ulifanywa  jana Oktoba 27,2024 na 

Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa niaba ya Rais Dkt Samia.

#KAZI INAONGEA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com