Na mwandishi wetu
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ametembea mtaa kwa mtaa kuhamasisha makundi mbalimbali ikiwemo bodaboda na wajasiriamali wadogowadogo kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Mkaazi kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 2024.
Chatanda amewataka wananchi wote kujiandikisha kwenye Daftari la Mkaazi kwani ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 18.
Social Plugin