Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CHATANDA NYUMBA KWA NYUMBA KUHAMASISHA UANDIKISHAJI

Na Mwandishi wetu, TANGA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ametembea mtaa kwa mtaa kuhamasisha makundi mbalimbali ikiwemo Vijana, Wanawake, Wazee na Wajasiriamali wadogowadogo katika soko la Bungu kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Mkaazi kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 2024.

Chatanda amewataka wananchi wote wa Kata ya Lewa, Lutindi na Bungu kujiandikisha kwenye Daftari la Mkaazi kwani ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 18. Pia amewataka kujitokeza Kipindi Cha kugombea kitakapokuwa tayari na kuhakikisha wanapiga Kura Kwa Wagombea wenye sifa.

Wakati huo huo Mwenyekiti huyo ametembea mtaa kwa mtaa kuhamasisha makundi mbalimbali ikiwemo Vijana, Wanawake, Wazee na Wajasiriamali wadogowadogo katika soko la Bungu kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Mkaazi kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 2024.

Chatanda amewataka wananchi wote wa Kata ya Lewa, Lutindi na Bungu kujiandikisha kwenye Daftari la Mkaazi kwani ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 18. Pia amewataka kujitokeza Kipindi Cha kugombea kitakapokuwa tayari na kuhakikisha wanapiga Kura Kwa Wagombea wenye sifa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com