Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SERIKALI KUENDELEA KUTOA VIBALI VYA AJIRA ILI KUONDOKANA NA ADHA YA UHABA WA WATUMISHI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya Musoma mara baada ya kutoka kuweka jiwe la msingi katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya Musoma wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Baadhi ya Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya Musoma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati akizungumza nao mara baada ya kutoka kuweka jiwe la msingi katika Hospitali ya Wilaya ya Musoma wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akifurahia jambo mara baada ya kuzindua Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya Musoma ambayo imewekwa jiwe la msingi na Waziri huyo wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akielekea kukagua majengo ya Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya Musoma wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evance Mtambi wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisisitiza jambo baada ya kukagua mashine ya x-ray wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Mara iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mwonekano wa mashine ya x-ray iliyopo katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya Musoma mkoani Mara.


Mwonekano wa kitanda cha mgonjwa na mashine za kupima afya zilizopo katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya Musoma mkoani Mara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa lengo la kufanya ziara ya kikazi ya kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitazama nyaraka za mwananchi wa Halmashauri ya Wilaya Musoma aliyewasilisha changamoto yake wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com