Ni maneno yanayosomeka kwenye mabango yanayotumiwa na mashabiki mbalimbali wa Simba na Yanga (Watoto wa Mama) kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es salaam.
Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo Oktoba 19, 2024 kuhamasishana kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mtaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 ili kupata viongozi bora kwa maendeleo ya soka kwanzia mitaani, vinapopatikana vipaji vya kweli.
#WatotoWaMama
#Novemba27TunaJamboLetu
#TusomaneVituoni
Social Plugin