WADAU TOENI MAONI YA KANUNI ZA UREJESHAJI GHARAMA ZA UENDESHAJI WA MASHAURI YA SERIKALI

Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akizungumza na wajumbe wa kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali wakati akifungua kikao hicho kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Mkurugenzi Msaidizi Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Mercy Kyamba akizungumza na wajumbe wa kikao kazi wakati akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi kufungua kikao hicho cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Mwandishi Mkuu wa Sheria Msaidizi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Nicodemas Chuwa akiwasilisha mada kuhusu Uandishi wa Sheria Ndogo wakati wa kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya Maandalizi baada ya kufungua kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja wawakilishi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) baada ya kufungua Kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Baadhi ya wajumbe wa kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi wakati akifungua kikao kazi hicho kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post