Mbunge wa jimbo la Kishapu Boniphace Butondo,ameshiriki kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye kituo cha kitongoji cha Nzugimtogwe Lagana.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefanyika leo Novemba 27,2024 ambapo wananchi wamechagua Mwenyekiti wa kijiji,kitongoji, Mtaa na wajumbe ambao wataongoza ndani ya miaka mitano hadi 2029.
Social Plugin