Kwaya ya Shinyanga Adventist 'Shinyanga Adventist Choir (SAC) imetambulisha rasmi video yake mpya ya wimbo wa injili uitwao "Songa Mbele".
Wimbo huu wa "Songa Mbele" unatarajiwa kuwa ni faraja kubwa kwa watu wengi, hasa katika nyakati za changamoto, kwa kuwa unasisitiza kuwa hakuna jambo lisilowezekana kwa nguvu ya Mungu na imani.
Usiangalie yaliyopita, maombi yako yatajibu! Ujumbe huu ukawe baraka kwa wengi!
Tazama Video hapa chini
Social Plugin