Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza imemwachia huru bila sharti lolote aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda katika kesi iliyikuwa inamkabili.
Nawanda alishitakiwa kwa kosa moja la ulawiti ambapo mahakama imeshindwa kumtia hatiani baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuwasilisha ushahidi wa kujitosheleza kumtia hatiani.
Social Plugin