Mahakama kuu Kanda ya Mwanza inatarajia kutoa hukumu ya kesi namba 1883/2024 inayomkabili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda leo Novemba 29,2024.
Dkt. Nawanda alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9,2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.
Social Plugin