BYABATO ASHIRIKI KUPIGA KURA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Wednesday, November 27, 2024
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, leo tarehe 27 Novemba 2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za mitaa.
Wakili Byabato amejitokeza katika kituo cha kupigia kura cha Chuo Huria, kilichopo mtaa wa Migera - Nshambya, Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin