Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa salamu za pole kwa waathirika wa ajali ya kudondokewa na gorofa Kariakoo Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Samia ametoa salamu hizo tarehe 17 Novemba, 2024, Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil ambapo yupo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20 unaotarajiwa kuanza kesho tarehe 18 Novemba, 2024.
Social Plugin