Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

INAWEZEKANA KUTOKA UFUKARA HADI KUWA TAJIRI

Jina langu ni Petro, naishi Dar es Salaam, Tanzania kwa sasa, ni kijana wa miaka 27, awali niliishi huko Meru pamoja na wazazi wangu ambao sasa ni wazee, huko maisha yalikuwa magumu sana kiasi kwamba hata kupata chakula ilikuwa ni tabu sana.

Nakumbuka katika umri wangu mdogo nilikuwa naondoka asubuhi nyumbani na wazazi wangu na kwenda kufanya kazi ya vibarua katika mashamba ya watu ambapo tulikuwa tunafanya kazi hadi jua linapozama.

Nilipofikisha umri wa miaka 20 niliamua kuondoka kwa wazazi na kuwaeleza kuwa naenda Dar es Salaam kutafuta maisha na nikifanikiwa nitarejea maana ndio wamenitunza kwa miaka mingi kwa kujinyima ile mimi nikue mtu mzima. 

Kufika Dar es Salaam nilifanya kazi mbalimbali kwa watu wengi, nilifanya kazi ya kuuza maji stendi kwa mwaka mmoja na nusu lakini nikaona malipo yake ni kudunchu sana na hayawezi kuniondoa katika umaskini wangu.

Nilichukua kiasi cha fedha nilichokuwa nimekusanya na kuamua kupanga chumba pamoja na kununua vitu vya ndani kama kitanda, godoro, meza na viti vya kukalia ili kuanza maisha yangu binafsi.

Sasa kiasi kilichobaki ndicho nikaanza nacho biashara ya kuuza samaki wabichi na kuku fresh, biashara ilianza vizuri lakini kadiri muda ulivyokuwa unasonga hali ilizidi kuwa mbaya zaidi.

Kusema kweli mtaji uliisha hadi nikaamua kuuza vitu vya ndani ili kurejea katika biashara, mtu wangu karibu, Domani ambaye naye alikuwa anauza maji alionekana kupata wateja sana hadi kiasi nikawa namuonea wivu kwa mafanikio yake.

Sikuwa na budi zaidi ya kumfuata na kumuuliza kuhusu siri ya mafanikio yake na ndipo aliponieleza baada ya kupitia wakati mgumu katika biashara ndipo alienda kwa Dr Bokko ambaye ameinua biashara za watu wengi.

Domani aliniambia anaweza kunisaidia, nilimuomba namba zake, nashukuru Domani alinipatia na niliweza kuwasiliana naye na kumueleza shida yangu ambayo ni kuvuta wateja katika biashara yangu.

Dr Bokko alinitoa hofu na kusema ndani ya siku chache nitaanza kupata majibu ya tatizo langu katika biashara ile, naweza kusema ilikuwa ni kama ndoto kwa namna ambavyo biashara ilishamiri na kuwa na wateja wengi.

Kusema kweli nilikuwa nauza hadi usiku wa saa tano na kuamua mwenyewe kwenda kulala kutokana na uchovu wa siku, kwa jinsi biashara ilivyokuwa inatoka niliweza kufanya mambo mengi ya kimaendeleo ikiwemo kuwajengea wazazi wangu. 

Hadi sasa nimeweza kununua nyumba nzuri yenye kila kitu ndani na ninajiona mbali sana kimaisha kwa fedha mbazo nimekuwa nikiingiza kila siku ambazo kwa sasa nimeziwekeza katika soko la hisa. Mpigie Dr Bokko kwa namba +255618536050.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com