MWENYEKITI WA INEC ASHIRIKI KUPIGAJI KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Wednesday, November 27, 2024
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akipiga kura katika kituo cha Shule ya Sekondari Jamhuri kililichopo Halmashari ya Jiji la Ilala Mkoani Dar es Salaam leo Novemba 27, 2024 wakati wananchi wa Tanzania Bara wanapiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. (Picha na INEC).
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin