Na Mwandishi wetu, Dar
Mawaziri wa kisekta wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. William Lukuvi Leo Novemba 17,2024 wamekutana kwa ajili ya kuendelea na zoezi la uokoaji wa watu waliokwama kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo kwenye mtaa wa Congo na Mchikichi Jijini Dar es Salaam.
Mawaziri hao ni pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo, Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godfrey Mollel, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Khamis na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga
Social Plugin