🚨 Beco Pre and Primary School ni miongoni mwa shule bora nchini Tanzania.
🚨 Shule yetu inafanya vizuri kwenye mitihani ya taifa.
🚨 Mwaka 2021, BECO ilishika nafasi ya 10 kitaifa.
🚨 Mwaka 2022, 2023 na 2024, BECO imekuwa kati ya shule bora zaidi kitaifa na kufanikiwa kupata Daraja 'A' bora mtihani wa darasa la saba wanafunzi wote .
Faida za Kusoma BECO Pre & Primary School:
👉 Mazingira bora kwa maendeleo ya kielimu ya mwanafunzi.
👉 Walimu bora na wenye ufanisi katika taaluma zao.
👉 Mafunzo ya maadili mema kwa watoto wa dini zote.
👉 Usafiri wa uhakika kwa wanafunzi.
👉 Ada nafuu na rafiki kwa wazazi.
Tunasajili watoto wa chekechea, darasa la kwanza na wanaohamia madarasa mengine.
Shule ya BECO inapatikana Shinyanga Mjini, nyuma ya Kom Sekondari.
Wasiliana nasi kwa Simu:
📞 0763 157 400
📞 0624 293 323
BECO - The Home of Bright Children
Social Plugin