Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Ngoma ya Moto Msimu wa Sikukuu !! NG'WANA KANG'WA - SHIGUKULU


Msanii wa nyimbo za asili zenye mahadhi ya asili ya Afrika ‘Ng’wana Kang’wa’ kupitia Kundi la BTM Africa, anayepatikana Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo maalumu wa Msimu wa Sikukuu !! SHIGUKULU

Kupitia wimbo huu wa SHIGUKULU, Ng’wana Kang’wa anayejulikana kwa sauti yake ya kipekee na mtindo wa kipekee wa kuandika nyimbo zinazohusisha hadithi za jadi na maisha ya jamii ameimba kuhusu furaha na majanga ya Sikukuu!

Sikiliza wimbo huu hapa

Ng’wana Kang’wa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com