Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DKT. BITEKO ATEMBELEA BANDA LA REA KATIKA MKUTANO WA NISHATI


Na Mwandishi wetu,ARUSHA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 unaofanyika leo tarehe 4 Disemba, 2024 jijini Arusha.

Dkt.Biteko pia amepokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea nchini. 

Zifuatazo ni baadhi ya picha katika mkutano huo.

👇🏽👇🏽👇🏽
















Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com