RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaongoza waombolezaji mbalimbali, wakiwemo viongozi wa Chama na Serikali, wakati wa kutoa heshima na kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika ka Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Mhe. Faustine Engelbert Ndugulile, leo Jumatatu, tarehe 2 Desemba 2024, katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar Es Salaam.
Social Plugin