Mwenyekiti Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele (katikati) akiongoza kikao cha Tume ambacho pamoja na mambo mengine kilijadili maoni ya wadau wa uchaguzi kuhusu Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025. Kikao hicho kimefanyika leo Januari 29,2025 Mkoani Morogoro. (Picha na INEC).
Social Plugin