WAKILI MAHINYILA MWENYEKITI MPYA WA VIJANA WA CHADEMA
Tuesday, January 14, 2025
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), Wakili Deogratius Mahinyila akiwa amebebwa na wajumbe baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi uchaguzi huo ulioanza jana na kutamatika leo, Januari 14, 2025 jijini Dar es Salaam.
Social Plugin