Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BECO PRE & PRIMARY SCHOOL YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2025!

 


Shule ya awali na Msingi ya BECO (Beco Pre and Primary School) inatangaza rasmi nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2025!

🚨 Beco Pre and Primary School ni miongoni mwa shule bora nchini Tanzania.


🚨 Shule yetu inafanya vizuri kwenye mitihani ya taifa.
🚨 Mwaka 2021, BECO ilishika nafasi ya 10 kitaifa.
🚨 
Mwaka 2022, 2023 na 2024, BECO imekuwa kati ya shule bora zaidi kitaifa na kufanikiwa kupata Daraja 'A' bora mtihani wa darasa la saba wanafunzi wote .

Faida za Kusoma BECO Pre & Primary School:

👉 Mazingira bora kwa maendeleo ya kielimu ya mwanafunzi.
👉 Walimu bora na wenye ufanisi katika taaluma zao.
👉 Mafunzo ya maadili mema kwa watoto wa dini zote.
👉 Usafiri wa uhakika kwa wanafunzi.
👉 Ada nafuu na rafiki kwa wazazi.

Tunasajili watoto wa chekechea, darasa la kwanza na wanaohamia madarasa mengine.

Shule ya BECO inapatikana Shinyanga Mjini, nyuma ya Kom Sekondari.

Wasiliana nasi kwa Simu:

📞 0763 157 400
📞 0624 293 323

BECO - The Home of Bright Children



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com