🚨 Beco Pre and Primary School inatangaza rasmi nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2025!
BECO ni miongoni mwa shule bora nchini Tanzania na inajivunia mafanikio makubwa katika elimu!
✅ Ufanisi katika Mitihani ya Taifa
- Mwaka 2021, BECO ilishika nafasi ya 10 kitaifa.
- Mwaka 2022, 2023 na 2024, BECO imekuwa miongoni mwa shule bora zaidi nchini na imefanikiwa kupata Daraja 'A' bora katika mtihani wa darasa la saba kwa wanafunzi wote.
Faida za Kusoma BECO Pre & Primary School:
👉 Mazingira Bora ya Kielimu
- Shule yetu ina mazingira bora yanayochangia maendeleo ya mwanafunzi.👉 Walimu Bora
- Tunao walimu wenye ufanisi na weledi katika taaluma zao.👉 Mafunzo ya Maadili
- Tunatoa mafunzo ya maadili mema kwa watoto wa dini zote.👉 Usafiri wa Uhakika
- Tunatoa usafiri wa uhakika kwa wanafunzi wetu.👉 Ada Nafuu
- Ada ni rafiki kwa wazazi, kuhakikisha elimu bora inapatikana kwa gharama nafuu.
Nafasi Zinazopatikana:
- Chekechea
- Darasa la Kwanza
- Wanaohamia madarasa mengine
Shule yetu inapatikana Shinyanga Mjini, nyuma ya Kom Sekondari.
Wasiliana nasi:
📞 0763 157 400
📞 0624 293 323
BECO – The Home of Bright Children!
Social Plugin