Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akizungumza katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kilichofanyika leo Januari 14,2025 Bungeni jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , Mhe. Daniel Sillo (Mb) akiwasilisha Taarifa ya Serikali kuhusu hali ya upatikanaji wa Viza kwa Watalii wanaoingia nchini kutoka mataifa mengine, katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kilichofanyika leo Januari 14,2025 Bungeni jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Nkoba Mabula (kushoto) wakifuatilia wasilisho la Taarifa ya Serikali kuhusu hali ya upatikanaji wa Viza kwa Watalii wanaoingia nchini kutoka mataifa mengine, ikiwasilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , Mhe. Daniel Sillo (Mb)(hayupo pichani) katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kilichofanyika leo Januari 14,2025 Bungeni jijini Dodoma.

Social Plugin