Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NIMEKOMA KUNUNUA URODA!

Naitwa Jam kutoka Mombasa, kipindi cha nyuma nilikua na tabia baada ya kulewa natafuta mwanamke naenda kulala nae. Siku moja baada ya kupiga tungi maeneo fulani ya mjini alipita dada poa mmoja nikamuita. 

Alipofika tukaelewana kwenda kumalizana kwa Tsh20,000, basi tukaanza kunywa na kulewa. Tulipomaliza tukaenda kulala. Kwa kuwa nilikua nimelewa sana nilipofika ndani tu nikapitiwa na usingizi. 

Kuja kushtuka ni asubuhi tayari na yule mwanamke ameiba pesa pamoja na simu yangu. Na ile simu ilikuwa ya kazi. Nilijaribu sana kumtafuta lakini sikumpata kitu ambacho kilinichanganya sana. 

Baada ya wiki mbili nikiwa sehemu ile ile nakunywa nilimuona tena anapita. Nikamuita, alikua ameshanisahau hivyo alijua ni mteja mpya. Alivyofika tu nikamshikilia nkamuambia anilipe vitu vyangu. 

Hata hivyo, alikataa katakata na kusema hakuchukua. Basi niliachana naye na kwenda kutafuta usaidizi kwa Dr Bokko ambaye amekuwa akinisaidia katika mambo mengi hasa yale yenye utata. 

Nilimueleza jambo hilo la kuibiwa vitu vyangu naye akaniahidi kulifanyia kazi kwa dawa zake za jadi. Baada ya siku mbili nikiwa kiwanja nakunywa zangu, yule dada alikuja akilia na kuniomba msamaha. 

Baada ya majanga kumpata, ndipo akakubali akasema ni kweli alichukua ila alishaviuza na pesa kashatumia. Hivyo labda nikalale nae ili kufidia. 

Niliamua kumuacha tu na tangu siku hiyo nimekoma kununua uroda. Wasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050 au tembelea tovuti yake kwa ushuhuda zaidi. 

Mwisho. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com