SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Zanzibar (ZBS) wameendelea kutoa elimu kwa wajasiriamali juu ya umuhimu wa kuwa na alama ya ubora katika maonesho ya 11 ya biashara yanayoendelea visiwani Zanzibar.
Wametoa elimu kwa kuwatembelea kila banda wajasiriamali hao walioshiriki kwenye Maonesho hayo ambayo yameanza Januari 1 na yanatarajiwa kufungwa Januari 15, 2025.
Social Plugin