Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

UWT YAKABIDHIWA GARI YA MATANGAZO KUONGEZA KASI YA KUZISAKA KURA ZA CCM 2025




Na mwandishi wetu, Dodoma

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) Kwa niaba ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) anatoa shukrani za dhati Kwa Chama Cha Mapinduzi kwa kuwapatia Gari kwa Matumizi ya Matangazo (PA).

Akipokea kwa niaba ya UWT, Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC) amekabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emanuel John Nchimbi katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM - Dodoma.

Aidha, Katibu Mkuu wa CCM amekabidhi Magari 4 Kwa Jumuiya zote 3 pamoja na Ofisi ya Jakaya Kikwete Convention center.













Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com