Na Mwandishi Wetu, Dar
Watumishi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wameyapamba maonesho yanayoendelea katika mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika jijini Da es Salaam.
Mkutano huo umefunguliwa leo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko
Social Plugin