Picha:Mtandao
Basi la timu ya Dodoma Jiji FC limepata ajali leo asubuhi maeneo ya Nangurukuru kuelekea Somanga mkoani Lindi likitokea mjini Ruangwa ambako jana walicheza mechi ya ya Ligi Kuu NBC dhidi ya Namungo FC.
Inaelezwa kuwa basi hilo lilipinduka mara mbili.
Taarifa zinadai wachezaji wengi wamepata majeraha na hakuna kifo kilichoripotiwa
Katibu Mkuu wa Timu hiyo, fortunatus Johnson amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.


SOMA HAPA ZAIDI CHANZO NIPASHE
Social Plugin