Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA - TAN) , Edwin Soko akizungumza wakati wa Mkutano wa Misa Tanzania na wadau (MISA-TAN - Wadau Summit 2025) leo Machi 14, 2025, jijini Dodoma. Mkutano huu ulioandaliwa na MISA TAN umekutanisha waandishi wa habari na wadau wa habari na mawasiliano kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Picha na Kadama Malunde




































Social Plugin