KILELE CHA WIKI YA MAJI NA UZINDUZI WA SERA YA MAJI YA MWAKA 2022 TOLEO 2025.
Saturday, March 22, 2025
Matukio katika picha Viongozi mbalimbali wakiwa wamewasili katika Kilele cha Wiki ya Maji na Uzinduzi wa Sera ya Maji ya Mwaka 2022 Toleo la Mwaka 2025 ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hiyo inafanyika leo Machi 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Picha na EMMANUEL MBATILO
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin