🚨 BECO Pre & Primary School – Nafasi za Masomo 2025 Zipo!
Shule ya BECO Pre and Primary School inayoongoza kwa ubora inawakaribisha wazazi na walezi kuandikisha watoto wao kwa mwaka wa masomo 2025.
Nafasi bado zinapatikana kwa madarasa yafuatayo:
✅ Chekechea
✅ Darasa la Kwanza
✅ Wanafunzi wa Kuhamia Madarasa Mengine
📍 Shule yetu ipo Shinyanga Mjini, nyuma ya Kom Sekondari – mahali tulivu na salama kwa ajili ya maendeleo ya mtoto wako.
🎓 Kwa Nini Uchague BECO?
✨ Matokeo Bora ya Kitaifa
🏆 Mwaka 2021: Nafasi ya 10 Kitaifa
🏆 Mwaka 2022, 2023 & 2024: Kila mwanafunzi amefaulu kwa Daraja la ‘A’
✨ Mazingira Bora ya Kusomea
Vyumba vya madarasa vya kisasa, usafi wa hali ya juu, na maeneo salama kwa watoto
✨ Walimu Wenye Weledi
Tunajivunia walimu mahiri, wenye moyo wa kujitoa na ujuzi wa kufundisha watoto kwa upendo
✨ Mafunzo ya Maadili
Tunakuza tabia njema kwa watoto wa dini zote
✨ Usafiri wa Uhakika
Huduma ya usafiri inayofika maeneo mbalimbali kwa usalama na uhakika
✨ Ada Nafuu
Gharama rafiki kwa wazazi bila kuathiri ubora wa elimu
📞 Wasiliana Nasi Sasa:
0763 157 400 au 0624 293 323
📌 BECO – The Home of Bright Children! 🌟
Social Plugin