Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA ANGOLA JIJINI LUANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Angola Jijini Luanda katika muendelezo wa Ziara yake ya Kiserikali nchini humo tarehe 08 Aprili, 2025. 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com