Habari Mpya

    Loading......

DAWA YA KUFUFUA PENZI LINALOTAKA KUFA!

Naitwa Emmy kutokea Pwani, nakumbuka hapo nyuma nilikuwa na mwanaume ambaye nilikuwa naye kwenye mahusiano tangu mwaka 2022. tumeenda vizuri alikuwa ananipenda sana ni mkaka wa miaka 31 wakati mimi nina 27. 

Kusema kweli nilikuwa nampenda sana kupita maelezo, sasa basi nikawa naishi nae huko Moshi, kipindi hicho hakuwa na kazi maalum alikuwa anafanya tu za kujitolea hapa na pale ili kutafuta fursa. 

Mwaka 2023 akapata kazi selikalini ajira zilivyotoka akapata kazi na akapangiwa kazi  Dar es Salaam, baada ya kuondoka akawa ananipigia simu tunachati, na pesa ya matumizi anatuma kama kawaida. 

Kufika mwaka 2024 nikamwambia nataka kuja uko Dar es Saaam lakini majibu yake yakawa hayaeleweki, mara aseme usije, mara nakaribia kuja huko Moshi, basi mimi nikatulia. 

Ghafla mwanaume akabadilika akaacha kutuma pesa ya matumizi na akaacha kupiga simu na nikimpigia hapokei, nikanyamaza na kutulia nikajitaidi kweli sikumtafuta japo roho yangu ilikua unaniuma sana.

Sasa usiku mmoja nikiwa nasikiliza redio nakasikia moja ya huduma anazotoa Kiwanga Doctors ni pamoja na kurudisha mpenzi wako wa zamani tena ndani ya muda mfupi. 

Basi nikafunga safari hadi ofisini kwake huko Migori, Kenya, na kumuelezea shida zangu zote kuhusu huyu mwanaume, naye alichukua hatua ya kunifanyia kile kijulikanacho kama get back your ex lover na kunihakikishia kupata matokeo makubwa. 

Hazikupita hata siku tatu, nikapokea ujumbe kutoka kwa yule mpenzi wangu akinifahamisha kuwa wikiendi ya wiki hiyo atakuja Moshi, hivyo nijiandae kumpokea, kusema kweli nilifurahi sana. 

Alifika nami nikampokea na tukakaa na kuzungumza yote yaliyotokea na sasa tunaishi wote Dar es Salaam ambapo mimi nipate kazi pia na sasa naendelea vizuri lakini najiuliza kama sikuchukua hatua hiyo sijui ingekuwaje. 

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com