Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MHE. NDERIANANGA ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO KATIKA MKUTANO WA TATU WA KIMATAIFA WA WATU WENYE ULEMAVU UJERUMANI


NA MWANDISHI WETU BERLIN, UJERUMANI

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ametembelea na kujionesha shughuli zinazotekelezwa na taasisi mbalimbali kuhusu Afa za Watu wenye Ulemavu Duniani wakati wa maonesho yanayoendelea katika Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Watu wenye Ulemavu (Third Global Disability Summit) jijini Berlin nchini Ujerumani tarehe 03 Aprili 2025.














Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com