Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NILIKUWA NA NDOTO YA KUOLEWA NA ALIYENIZIDI KIPATO

Jina langu Suzi kutokea Moshi, mimi ni moja ya wahanga wa mapenzi namimi nimepitia mambo mengi ya kwenye mahusiano hadi kufikia umri huu wa miaka 27.

Sasa yupo kijana nilikutana nae akadai ananipenda na huyo kaka ni ndugu wa rafiki yangu ila kulikuwa kuna vitu vinanipa utata kuwa nae kwanza yeye ndo alikuwa anaanza maisha maana ndo kamaliza chuo  japo ni mkubwa kiumri akiwa na miaka 32. 

Kwa kifupi ndio alikuwa anajitafuta anafanya biashara ndogo ndogo pili yeye akasema suala la ndoa hana uwezo nalo ila anatamani sana kupata mtoto na mimi kwa wakati huo. 

Sasa mimi nikaangalia nimekaa mtaani mwaka wa pili najipambania kimaisha, hivyo kuna sehemu nimemuacha  japo sio sana halafu pili mimi nina ndoto za kuwa na mwanaume aliyenizidi kipato. 

Kingine sikuwahi kuwaza kama nitakuja zaa nje ya ndoa, sasa nikawa nafikiri je akiniacha si nitabaki single mama?, Kivyo nilivyo waza vyote nikashindwa kumkubali. 

Lakini baada ya muda tukajikuta tena tumeanza ukaribu na akasema ananipenda. Baadaye katika kupita huku na kule ndipo nikasikia kuwa Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya anasaidia watu kupata kazi na mambo mengine. 

Basi nikawasiliana naye na kumueleza suala hilo, alimfanyia huyu mpenzi wangu muujiza wa kupata kazi (job spells) na ndani ya muda mfupi akafanikiwa na ndipo hapo moyo wangu ukawa na amani katika kumpenda na tumeshaoana tunaishi kama familia.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 

 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com