
Mimi nguo zangu na vitu vya muhimu nishanunua niko sawa. Mume wangu alitoa hela akampa dada yake ili anunue nguo za familia yao nzima na hela ilikuwa inatosha kabisa.
Tumeendelea na maandalizi wifi akampigia mume wangu kumwambia nguo hazijanunuliwa hela ameitumia kwenye biashara zake na haijarudi bado. Biashara yenyewe alifunguliwa na mume wangu baada ya kuona amezaa nyumbani na mwanaume aliyemzalisha haoneshi ushirikiano.
Harusi yangu inakaribia lakini wifi anaweka vizuizi vingi ili ndugu wa mume wangi wasije kwenye harusi. Nilipoona mambo yanakuwa makubwa nikamtumia massage kumuomba anunue nguo kama ilivyotakiwa harusi ikipita nitamuomba mume wangu amuongezee mtaji ili biashara yake isimame.
Lakini hakunijibu akampa simu mdogo wao wa mwisho anipigie, napokea simu nakuta nakaripiwa naambiwa nisiingilie mambo ya kifamilia. Kama mume wangu hataki ndugu zake waje kwenye harusi yake basi tutakuwa mimi na yeye kwenye hiyo harusi na nikiendelea na mdomo watanifata wanipige.
Swali langu kama wanataka kumuomba kaka yao mtaji kwa nini wamharibie harusi na wanajua hawachangii hata kidogo? kwa nini wasisubiri harusi ipite ndio waombe wanavyovitaka?. Hapo nikaamua kuchukua hatua ya kwenda kwa Kiwanga Doctors.
Kufika kwa mtaalamu huyo huko Migori nchini Kenya, nikamueleza mkasa wangu wote na yeye akaamua kunifanyia matambiko (marriage spell) ya kuweza kuinusuru ndoa yangu na kweli mambo yangu yakawa mazuri na ndoa tukafunga.
Siku ya harusi ndugu wa mume wote walikuja licha ya hapo awali kunitukana sana na kuniita mchoyo lakini sikujali ilimradi jambo langu limefanikiwa.
Ikiwa unapitia kitu kama hicho, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao.
Social Plugin